Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ayu 33:15-18

Ayu 33:15-18 SUV

Katika ndoto, katika maono ya usiku, Usingizi mzito uwajiliapo watu, Katika usingizi kitandani; Ndipo huyafunua masikio ya watu, Na kuyatia muhuri mafundisho yao, Ili amwondoe mtu katika makusudio yake, Na kumfichia mtu kiburi; Yeye huizuia nafsi yake isiende shimoni, Na uhai wake usiangamie kwa upanga.

Soma Ayu 33

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ayu 33:15-18