Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ayubu 33:15-18

Ayubu 33:15-18 SRUV

Katika ndoto, katika maono ya usiku, Usingizi mzito uwajiapo watu, Katika usingizi kitandani; Ndipo huyafunua masikio ya watu, Na kuyatia mhuri mafundisho yao, Ili amwondoe mtu katika makusudio yake, Na kumfichia mtu kiburi; Yeye huizuia nafsi yake isiende shimoni, Na uhai wake usiangamie kwa upanga.

Soma Ayubu 33

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ayubu 33:15-18