Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 16:15-16

Mt 16:15-16 SUV

Akawaambia, Nanyi mwaninena mimi kuwa ni nani? Simoni Petro akajibu akasema, Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.

Soma Mt 16

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mt 16:15-16