Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 16:15-16

Mathayo 16:15-16 SRUV

Akawaambia, Nanyi mwaninena mimi kuwa ni nani? Simoni Petro akajibu akasema, Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.

Soma Mathayo 16

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 16:15-16