Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Torati 24:5

Kumbukumbu la Torati 24:5 SRUV

Mtu atwaapo mke mpya, asiende vitani pamoja na jeshi, wala asipewe shughuli juu yake yoyote; akae faragha mwaka mmoja nyumbani mwake, apate mfurahisha mkewe aliyemtwaa.