Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Sheria 24:5

Kumbukumbu la Sheria 24:5 BHN

“Mwanamume aliyeoa karibuni asiende vitani wala asipewe kazi yoyote nyingine; aachwe huru kwa muda wa mwaka mmoja, ili akae nyumbani na kufurahi na mkewe.