Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 4:39-40

Marko 4:39-40 SRUV

Akaamka, akaukemea upepo, akaiambia bahari, Nyamaza, utulie. Upepo ukakoma, kukawa shwari kuu. Akawaambia, Mbona mmekuwa waoga? Hamna imani bado?

Soma Marko 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 4:39-40