Marko MT. 8:37-38
Marko MT. 8:37-38 SWZZB1921
Ama mtu atoe nini badala ya roho yake? Maana killa mtu atakaenionea haya mimi, na maneno yangu, katika kizazi hiki cha zina na dhambi, Mwana wa Adamu atamwonea haya yeye atakapokuja katika utukufu wa Baba yake pamoja na malaika watakatifu.