Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Mose 7:11-12

2 Mose 7:11-12 SRB37

Ndipo, Farao naye alipowaita wajuzi na walozi, nao hao waganga wakafanya hivyo kwa uganga wao. Wakazitupa fimbo zao chini, kila mtu yake, nazo zikawa nyoka, lakini fimbo yake Haroni ikazimeza fimbo zao.

Soma 2 Mose 7