Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Mose 39:20-21

1 Mose 39:20-21 SRB37

Ndipo, bwana wake Yosefu alipomchukua, akamfunga kifungoni mle chumbani, mlimokuwa na wafungwa wa mfalme; humo kifungoni ndimo, Yosefu alimotiwa. Lakini Bwana alikuwa naye Yosefu, akamtolea utu na kumpatia upendeleo machoni pa mkuu wa kifungo.

Soma 1 Mose 39