Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yobu 33:15-18

Yobu 33:15-18 BHN

Mungu huongea na watu katika ndoto na maono, wakati usingizi mzito unapowavamia, wanaposinzia vitandani mwao. Hapo huwafungulia watu masikio yao; huwatia hofu kwa maonyo yake, wapate kuachana na matendo yao mabaya, na kuvunjilia mbali kiburi chao. Hivyo humkinga mtu asiangamie shimoni, maisha yake yasiangamie kwa upanga.

Soma Yobu 33

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yobu 33:15-18