Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 127:1

Zaburi 127:1 BHN

Mwenyezi-Mungu asipoijenga nyumba, waijengao wanajisumbua bure. Mwenyezi-Mungu asipoulinda mji, waulindao wanakesha bure.

Soma Zaburi 127

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 127:1