Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku 1Mfano

Soma Biblia Kila Siku 1

SIKU 12 YA 31

Yesu alitumia kiu aliyokuwa nayo na maji aliyopewa kwa lengo la kuongea zaidi na yule mwanamke Msamaria. Alitaka kuanzia hapo azinduke na kujua kuwa kuna maji ya uzima ambayo ni Yesu peke yake anayeweza kuyatoa. Bado Yesu ana ‘kiu’ kuwapa watu maji ya uzima. Pengine anabisha katika mlango wa moyo wako sasa (ling. Ufu 3:20). Yesu anafahamu dhambi, taabu na mahangaiko yako yote. Na sasa anataka kuingia kwako akupe furaha tele na amani tele hadi uzima wa milele. Soma na tafakari zaidi m.14!

Andiko

siku 11siku 13

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 1

Soma Biblia Kila Siku 1 inakupa mpango wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu, hasa kutoka Injili ya Yohana, pamoja na maelezo juu ya somo hilo.

More

Tungependa kushukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

Mipango inayo husiana