Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku 1Mfano

Soma Biblia Kila Siku 1

SIKU 27 YA 31

Kutunga zaburi kama hii si kitu chepesi chepesi tu. Ni ushahidi wa mtu aliyepitia majaribu na mapambano mengi katika maisha yake (m.3-4; 9-10). Alipata msaada kwa njia ya kuyaondoa macho yake yasitazame matatizo bali yaelekee kwa Mungu! Nafsi yangu yamngoja Mungu peke yake kwa kimya, wokovu wangu hutoka kwake. Yeye tu ndiye mwamba wangu na wokovu wangu, ngome yangu, sitatikisika sana(m.1-2; 5-6). Ili kulikaza neno hili amelirudia mara mbili! Hatua ya kwanza ni hii: Tumfungulie Bwana yaliyomo mioyoni mwetu (m.8)!

siku 26siku 28

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 1

Soma Biblia Kila Siku 1 inakupa mpango wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu, hasa kutoka Injili ya Yohana, pamoja na maelezo juu ya somo hilo.

More

Tungependa kushukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

Mipango inayo husiana