Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku 1Mfano

Soma Biblia Kila Siku 1

SIKU 28 YA 31

Bwana Yesu alisema na kutenda yale yanayoleta sifa na utukufu kwa Mungu, wala ndani yake hakuwa na udhalimu (m.16-18). Hakutafuta sifa na utukufu wake binafsi. Aliposifiwa na Wayahudi kwa mafundisho mazuri, hakuvimba kichwa kwa sifa hizo bali aliwaelekeza waliomsifu kwa Mungu na kufichua uovu wao wa kutaka kumwua kwa sababu ya kumponya mtu siku ya sabato. Soma pia Flp 2:5-7! Hakika, nia hii ya Kristo iwemo ndani yetu. Maneno na matendo yetu yajae kumtukuza Mungu.

siku 27siku 29

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 1

Soma Biblia Kila Siku 1 inakupa mpango wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu, hasa kutoka Injili ya Yohana, pamoja na maelezo juu ya somo hilo.

More

Tungependa kushukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

Mipango inayo husiana