Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Injili Ulimwenguni - Sehemu 4Mfano

Injili Ulimwenguni - Sehemu 4

SIKU 4 YA 7

Yesu awachagua wafuasi kumi na wawili

Ikawa katika siku hizo Yesu alikwenda mlimani kuomba, akakesha usiku kucha   akimwomba Mungu. 

Kulipopambazuka akawaita wanafunzi wake, naye akachagua   kumi na wawili, ambao pia aliwaita mitume:  

Simoni aliyemwita Petro, Andrea nduguye, Yakobo, Yohana,   Filipo, Bartolomayo,   

Mathayo, Tomasi. Yakobo mwana wa Alfayo, Simoni   aliyeitwa Zelote,Yuda mwana wa Yakobo na Yuda Iskariote, ambaye ndiye   aliyemsaliti Yesu.    

siku 3siku 5

Kuhusu Mpango huu

Injili Ulimwenguni - Sehemu 4

Mfuatano huu ni kusanyiko la hadithi kuhusu maisha Kristo itakayoshirikisha watazamaji wote ulimwenguni kwa kutumia mchanganyiko wa kuona na sauti. Maisha na mafundisho ya Yesu yalidhihirishwa katika kitabu hiki cha hadithi ambacho kinafuata masimulizi ya Agano Jipya yanayopatikana katika vitabu vya Injili vya Mathayo, Marko, Luka, na Yohana.

More

Tungependa kumshukuru GNPI Afrika kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://gnpi-africa.org/