Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mpango Bora wa KusomaMfano

The Better Reading Plan

SIKU 15 YA 28

Lazima tuachilie mazuri ili tunyakue yaliyo bora zaidi Kuishi maisha bora, kujitahidi kupata hekima. usijiruhusu kudanganywa na "hekima" ya dunia, mbadala zingatia hekima kutoka kwa Mungu. Methali 16:16 inasema, "Si afadhali kupata hekima kuliko dhahabu? Naam, yafaa kuchagua ufahamu kuliko fedha. Wiki hii utasoma kutoka maandishi ya Sulemani katika Mithali na Mhubiri na vifungu kutoka Agano Jipya kuhusu thamani ya hekima na jinsi ya kuipata katika maisha yako mwenyewe
siku 14siku 16

Kuhusu Mpango huu

The Better Reading Plan

unajisihisi umezidiwa, kutoridhika, na kukwama maishani? Je unatamani maisha yako ya kila siku yaboreke? Neno la Mungu ni mwongozo kwa siku njema. Katika mpango huu wa siku 28, utagundua njia kutoka kuishi tu maisha mema, hadi kuishi maisha mema ambayo Mungu amekutazamia.

More

We would like to thank Pastor Craig Groeschel and Life.Church for providing this plan. For more information, please visit: www.life.church

Mipango inayo husiana