Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku Julai/2022Mfano

Soma Biblia Kila Siku Julai/2022

SIKU 18 YA 31

Luka ameandika robo moja ya Agano Jipya, yaani, Injili hii na Matendo ya Mitume. Luka ni daktari na mtumishi wa Bwana aliyeshirikiana sana na mtume Paulo (Kol 4:14, Luka, yule tabibu mpendwa). Vitabu vyote viwili amemwandikia Theofilo. Neno ”mtukufu” (mheshimiwa) linaonyesha huyu ni mwenye cheo na elimu. Na ni Mkristo Mmataifa, maana jina lake ni la Kigriki. Injili ya Luka inalenga hasa Wakristo wa Wamataifa. Karibu nusu ya Injili ni habari ya pekee ambayo hayasomeki katika Injili nyingine. M.4 unatuonyesha shabaha ya Luka ambayo ni ili upate kujua hakika ya mambo yale uliyofundishwa.

Andiko

siku 17siku 19

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku Julai/2022

Soma Biblia Kila Siku Julai/2022 ni mpango wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu kila siku kwa mwezi wa Julai pamoja na maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa kwa urahisi na kuendelea kutafakari neno la Mungu ulilosoma kwa siku husika. Katika mpango huu utasoma zaidi katika kitabu cha Zakaria na Luka. Karibu kujiunga na mpango huu na usome bure

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz/

Mipango inayo husiana