Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku/AGOSTI 2023Mfano

Soma Biblia Kila Siku/AGOSTI 2023

SIKU 15 YA 31

Wayahudi hawakuuelewa utumwa wao, Yesu alipowaambia kuwakila atendaye dhambi ni mtumwa wa dhambi(m.34).Kisiasawalikuwa wanatawaliwa na Warumi, lakini walijua Yesu alizungumza juu ya hali yaoyakiroho. Hapo walijisifu kuwa wana wa Ibrahimu na watu wa Mungu. Kwa hiyo waliona hawajawahi kuwa watumwa. Lakini ni Yesu peke yake awezaye kutuweka huru kwelikweli! Kwa nini hawakumwelewa Yesu? Mwenyewe anatoa jibu:Ni kwa sababu ninyi hamwezi kulisikia neno langu(m.43)! Kaa daima ndani ya neno la Yesu, maana ni la kweli na hutuweka huru kutoka utumwa wa dhambi.

siku 14siku 16

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku/AGOSTI 2023

Soma Biblia Kila Siku Agosti 2023 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kuelewa somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi katika kitabu Yohana na Mithali. Karibu kujiunga na mpango huu.

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz/

Mipango inayo husiana