1
Mattayo MT. 4:4
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Akajibu akasema, Imeandikwa, Mtu hataishi kwa mkate tu, illa kwa killa neno litokalo katika kinywa cha Mungu.
Lee anya n'etiti ihe abụọ
Nyochaa Mattayo MT. 4:4
2
Mattayo MT. 4:10
Ndipo Yesu akamwambia, Nenda zako, Shetani: kwa maana imeandikwa, Utamsujudia Bwana Mungu wako, nae peke yake utamwabudu.
Nyochaa Mattayo MT. 4:10
3
Mattayo MT. 4:7
Yesu akamwambia. Tena imeandikwa, Usimjaribu Bwana Mungu wako.
Nyochaa Mattayo MT. 4:7
4
Mattayo MT. 4:1-2
NDIPO Yesu alipopandishwa na Roho hatta jangwani, illi ajaribiwe na Shetani. Akafunga siku arubaini mchana na usiku, baadae akaona njaa.
Nyochaa Mattayo MT. 4:1-2
5
Mattayo MT. 4:19-20
Akawaambia, Nifuateni, nami nitawafanya kuwa wavuvi wii watu. Marra wakaziacha nyavu, wakamfuata.
Nyochaa Mattayo MT. 4:19-20
6
Mattayo MT. 4:17
Tokea wakati huo Yesu akaanza kukhubiri, na kusema, Tubuni, maana ufalme wa mbinguni umekaribia.
Nyochaa Mattayo MT. 4:17
Ebe Mmepe Nke Mbụ Nke Ngwá
Akwụkwọ Nsọ
Atụmatụ Ihe Ogụgụ Gasị
Vidiyo Gasị