1
Mattayo MT. 5:15-16
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Wala watu hawawashi taa na kuiweka chini ya kibaba, bali juu ya kibao cha kuwekea taa; nayo yaangaza wote waliomo nyumbani. Vivi hivi nuru yenu iangaze mbele ya watu, wapate kuyaona matendo yenu mema, wakamtukuze Baba yenu aliye mbinguni.
Lee anya n'etiti ihe abụọ
Nyochaa Mattayo MT. 5:15-16
2
Mattayo MT. 5:14
Ninyi ni nuru ya ulimwengu. Mji hauwezi kustirika ukiwa juu ya mlima.
Nyochaa Mattayo MT. 5:14
3
Mattayo MT. 5:8
Wa kheri walio na moyo safi; maana hawo watamwona Mungu.
Nyochaa Mattayo MT. 5:8
4
Mattayo MT. 5:6
Wa kheri wenye njaa na kiu ya haki: maana hawo watashiba.
Nyochaa Mattayo MT. 5:6
5
Mattayo MT. 5:44
bali mimi nawaambieni, Wapendeni adui zenu, wabarikini wanaowalaani, watendeni mema wanaowachukia, waombeeni wanaowatendea ukorofi, na kuwatesa
Nyochaa Mattayo MT. 5:44
6
Mattayo MT. 5:3
Wa kheri walio maskini wa roho; maana ufalme wa mbinguni ni wao.
Nyochaa Mattayo MT. 5:3
7
Mattayo MT. 5:9
Wa kheri wasuluhishi: maana hawo watakwitwa wana wa Mungu.
Nyochaa Mattayo MT. 5:9
8
Mattayo MT. 5:4
Wa kheri wenye huzuni: maana hawo watafarajika.
Nyochaa Mattayo MT. 5:4
9
Mattayo MT. 5:10
Wa kheri wateswao kwa ajili ya haki: maana ufalme wa mbinguni ni wao.
Nyochaa Mattayo MT. 5:10
10
Mattayo MT. 5:7
Wa kheri wenye rehema: maana hawo watarehemiwa.
Nyochaa Mattayo MT. 5:7
11
Mattayo MT. 5:11-12
M kheri ninyi watakapowatukana na kuwatesa na kuwanenea killa neno baya kwa uwongo, kwa ajili yangu. Furahini, shangilieni: kwakuwa thawabu yenu nyingi mbinguni; kwa maana ndivyo walivyowatesa manabii waliokuwa kabla yenu.
Nyochaa Mattayo MT. 5:11-12
12
Mattayo MT. 5:5
Wa kheri wenye upole: maana hawo watairithi inchi.
Nyochaa Mattayo MT. 5:5
13
Mattayo MT. 5:13
Ninyi ni chumvi ya dunia: lakini chumvi ikiwa imeharibika itatiwani ikolee? Haifai tena kabisa, illa kufupwa nje na kukanyagwa na watu.
Nyochaa Mattayo MT. 5:13
14
Mattayo MT. 5:48
Bassi mwe ninyi wakamilifu, kama Baba yenu wa mbinguni alivyo mkamilifu.
Nyochaa Mattayo MT. 5:48
15
Mattayo MT. 5:37
Bali maneno yenu yawe, Ndio, ndio; Sio, sio: kwa kuwa izidiyo haya yatoka kwa yule mwovu.
Nyochaa Mattayo MT. 5:37
16
Mattayo MT. 5:38-39
Mmesikia walivyoambiwa, Jicho kwa jicho, na jino kwa jino: bali mimi nawaambieni, Msishindane na mtu mwovu; bali mtu akupigae shavu la kuume, mgeuzie na la pili.
Nyochaa Mattayo MT. 5:38-39
17
Mattayo MT. 5:29-30
Jicho lako la kuume likikukosesha, lingʼoe ulitupe mbali nawe: kwa maana yakufaa kiungo chako kimoja kipotee wala mwili wako mzima usitupwe katika jehannum. Na mkono wako wa kuume ukikukosesha, ukate uutupe mbali nawe: kwa maana yakufaa kiungo chako kimoja kipotee, wala mwili wako mzima usitupwe katika jehannum.
Nyochaa Mattayo MT. 5:29-30
Ebe Mmepe Nke Mbụ Nke Ngwá
Akwụkwọ Nsọ
Atụmatụ Ihe Ogụgụ Gasị
Vidiyo Gasị