1
1 Wakorintho 8:6
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
kwetu sisi yuko Mungu mmoja, aliye Baba, ambaye vitu vyote vyatoka kwake na kwa ajili yake sisi twaishi; na kuna Bwana mmoja tu, Isa Al-Masihi, ambaye kwa yeye vitu vyote vilitoka na kwa yeye tunaishi.
Linganisha
Chunguza 1 Wakorintho 8:6
2
1 Wakorintho 8:1-2
Sasa kuhusu chakula kilichotolewa sadaka kwa sanamu, tunajua kwamba “sisi sote tuna ujuzi.” Lakini ujuzi hujivuna, bali upendo hujenga. Mtu yeyote anayedhani kwamba anajua kitu, bado hajui kama impasavyo kujua.
Chunguza 1 Wakorintho 8:1-2
3
1 Wakorintho 8:13
Kwa hiyo, kama kile ninachokula kitamfanya ndugu yangu aanguke katika dhambi, sitakula nyama kamwe, nisije nikamfanya ndugu yangu aanguke.
Chunguza 1 Wakorintho 8:13
4
1 Wakorintho 8:9
Lakini angalieni jinsi mnavyotumia uhuru wenu usije ukawa kikwazo kwao walio dhaifu.
Chunguza 1 Wakorintho 8:9
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video