Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wakorintho 8:1-2

1 Wakorintho 8:1-2 NEN

Sasa kuhusu chakula kilichotolewa sadaka kwa sanamu, tunajua kwamba “sisi sote tuna ujuzi.” Lakini ujuzi hujivuna, bali upendo hujenga. Mtu yeyote anayedhani kwamba anajua kitu, bado hajui kama impasavyo kujua.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wakorintho 8:1-2