Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wakorintho 8:1-2

1 Wakorintho 8:1-2 BHN

Yahusu sasa vyakula vilivyotambikiwa sanamu: Tunajua kwamba sisi sote tuna ujuzi, lakini ujuzi huo huwafanya watu wawe na majivuno; lakini mapendo hujenga. Anayefikiri kwamba anajua kitu, kwa kweli hajui chochote kama inavyompasa.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wakorintho 8:1-2