Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Kor 8:1-2

1 Kor 8:1-2 SUV

Na kwa habari ya vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu; Twajua ya kuwa sisi sote tuna ujuzi. Ujuzi huleta majivuno, bali upendo hujenga. Mtu akidhani ya kuwa anajua neno, hajui neno lo lote bado, kama impasavyo kujua.

Soma 1 Kor 8

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Kor 8:1-2