1
Mhubiri 1:18
Neno: Bibilia Takatifu
Kwa kuwa hekima nyingi huleta huzuni kubwa; maarifa yanapoongezeka, masikitiko yanaongezeka.
Linganisha
Chunguza Mhubiri 1:18
2
Mhubiri 1:9
Kile kilichokuwepo kitakuwepo tena, kile kilichofanyika kitafanyika tena, hakuna kilicho kipya chini ya jua.
Chunguza Mhubiri 1:9
3
Mhubiri 1:8
Vitu vyote vinachosha, zaidi kuliko mtu anavyoweza kusema. Jicho kamwe halitosheki kutazama, wala sikio halishibi kusikia.
Chunguza Mhubiri 1:8
4
Mhubiri 1:2-3
“Ubatili mtupu! Ubatili mtupu!” Mhubiri anasema. “Ubatili mtupu! Kila kitu ni ubatili.” Mwanadamu anafaidi nini kutokana na kazi yake yote anayotaabikia chini ya jua?
Chunguza Mhubiri 1:2-3
5
Mhubiri 1:14
Nimeshaona mambo yote yanayotendeka chini ya jua, hayo yote ni ubatili, hii ni kukimbiza upepo.
Chunguza Mhubiri 1:14
6
Mhubiri 1:4
Vizazi huja na vizazi hupita, lakini dunia inadumu milele.
Chunguza Mhubiri 1:4
7
Mhubiri 1:11
Hakuna kumbukumbu ya watu wa zamani, hata na wale ambao hawajaja bado hawatakumbukwa na wale watakaofuata baadaye.
Chunguza Mhubiri 1:11
8
Mhubiri 1:17
Ndipo nilipojitahidi kufahamu kutofautisha hekima, wazimu na upumbavu, lakini nikatambua hata hili nalo ni kukimbiza upepo.
Chunguza Mhubiri 1:17
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video