1
Kutoka 14:14
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Mwenyezi Mungu atawapigania ninyi, nanyi mnatakiwa kutulia tu.”
Linganisha
Chunguza Kutoka 14:14
2
Kutoka 14:13
Musa akawajibu Waisraeli, “Msiogope. Simameni imara, nanyi mtauona wokovu Mwenyezi Mungu atakaowapatia leo. Hao Wamisri mnaowaona leo kamwe hamtawaona tena.
Chunguza Kutoka 14:13
3
Kutoka 14:16
Inua fimbo yako na unyooshe mkono wako juu ya bahari ili kuyagawa maji, ili Waisraeli wapate kupita mahali pakavu baharini.
Chunguza Kutoka 14:16
4
Kutoka 14:31
Basi Waisraeli walipoona uwezo mkubwa Mwenyezi Mungu aliodhihirisha dhidi ya Wamisri, watu wakamwogopa Mwenyezi Mungu na wakaweka tumaini lao kwake na kwa Musa mtumishi wake.
Chunguza Kutoka 14:31
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video