1
Yeremia 27:5
Neno: Bibilia Takatifu
Kwa uwezo wangu mkuu na kwa mkono wangu ulionyooshwa nimeumba dunia na watu wake na wanyama walioko ndani yake, nami humpa yeyote inipendezavyo.
Linganisha
Chunguza Yeremia 27:5
2
Yeremia 27:6
Sasa nitazitia nchi zenu zote mkononi mwa mtumishi wangu Nebukadneza mfalme wa Babeli, na nitawafanya hata wanyama wa mwituni wamtumikie.
Chunguza Yeremia 27:6
3
Yeremia 27:9
Kwa hiyo msiwasikilize manabii wenu, waaguzi wenu, waota ndoto wenu, watabiri na wachawi wanaowaambia ninyi: Hamtamtumikia mfalme wa Babeli.
Chunguza Yeremia 27:9
4
Yeremia 27:22
‘Vitachukuliwa kupelekwa Babeli, nako huko vitabaki mpaka siku nitakayovijilia,’ asema BWANA. ‘Kisha nitavirudisha na kuvirejesha mahali hapa.’ ”
Chunguza Yeremia 27:22
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video