1
Amo 5:24
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Lakini hukumu na itelemke kama maji, na haki kama maji makuu.
Linganisha
Chunguza Amo 5:24
2
Amo 5:14
Tafuteni mema, wala si mabaya, mpate kuishi; hivyo BWANA, Mungu wa majeshi, atakuwa pamoja nanyi, kama msemavyo.
Chunguza Amo 5:14
3
Amo 5:15
Yachukieni mabaya; yapendeni mema; mkaithibitishe haki langoni; yamkini kwamba BWANA, Mungu wa majeshi, atawafanyia fadhili mabaki ya Yusufu.
Chunguza Amo 5:15
4
Amo 5:4
Maana BWANA awaambia hivi nyumba ya Israeli, Nitafuteni mimi, nanyi mtaishi
Chunguza Amo 5:4
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video