1
Mhu 11:9
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Wewe kijana, uufurahie ujana wako, na moyo wako ukuchangamshe siku za ujana wako, ukaziendee njia za moyo wako, na katika maono ya macho yako, lakini ujue wewe ya kwamba kwa ajili ya hayo yote Mungu atakuleta hukumuni.
Linganisha
Chunguza Mhu 11:9
2
Mhu 11:10
Kwa hiyo ondoa majonzi moyoni mwako, nawe uuondoe ubaya mwilini mwako; kwa maana ujana ni ubatili, na utu uzima pia.
Chunguza Mhu 11:10
3
Mhu 11:4
Mwenye kuuangalia upepo hatapanda; Naye ayatazamaye mawingu hatavuna.
Chunguza Mhu 11:4
4
Mhu 11:5
Kama vile wewe usipojua njia ya upepo ni ipi, wala jinsi mifupa ikuavyo tumboni mwake mja mzito; kadhalika huijui kazi ya Mungu, afanyaye mambo yote.
Chunguza Mhu 11:5
5
Mhu 11:6
Asubuhi panda mbegu zako, Wala jioni usiuzuie mkono wako. Kwa maana wewe hujui ni zipi zitakazofanikiwa, kama ni hii au hii, au kama zote zitafaa sawasawa.
Chunguza Mhu 11:6
6
Mhu 11:2
Uwagawie sehemu watu saba, hata wanane; Maana hujui baa gani litakalokuwa juu ya nchi.
Chunguza Mhu 11:2
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video