1
Mwanzo 35:11-12
Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza
Tena Mungu akamwambia, “Mimi ndimi Mungu mwenye nguvu. Ujaliwe wazawa wengi; kwako wewe kutatokea taifa, mataifa na wafalme. Nchi niliyowapa Abrahamu na Isaka, nitakupa wewe na wazawa wako.”
Linganisha
Chunguza Mwanzo 35:11-12
2
Mwanzo 35:3
Kisha, tutakwenda Betheli ili nimjengee mahali pa kumtambikia Mungu aliyenisaidia siku ya taabu, Mungu ambaye amekuwa nami popote nilipokwenda.”
Chunguza Mwanzo 35:3
3
Mwanzo 35:10
Mungu alimwambia, “Jina lako ni Yakobo, lakini hutaitwa hivyo tena, bali sasa jina lako litakuwa Israeli.” Kwa hiyo Yakobo akaitwa Israeli.
Chunguza Mwanzo 35:10
4
Mwanzo 35:2
Basi, Yakobo akawaambia jamaa yake na wote aliokuwa nao, “Tupilieni mbali sanamu za miungu ya kigeni mlizo nazo, mjitakase na kubadili mavazi yenu.
Chunguza Mwanzo 35:2
5
Mwanzo 35:1
Siku moja, Mungu alimwambia Yakobo, “Anza safari, uende kuishi Betheli na kunijengea humo mahali pa kunitambikia mimi Mungu niliyekutokea wakati ulipomkimbia kaka yako Esau.”
Chunguza Mwanzo 35:1
6
Mwanzo 35:18
Raheli huku akikata roho, akampa huyo mtoto jina Ben-oni. Lakini baba yake akamwita mtoto huyo Benyamini.
Chunguza Mwanzo 35:18
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video