1
Kumbukumbu la Sheria 32:4
BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA
“Mwenyezi-Mungu ni Mwamba wa usalama; kazi zake ni kamilifu, njia zake zote ni za haki. Yeye ni Mungu mwaminifu asiye na kosa, yeye hufanya mambo ya uadilifu na ya haki.
Linganisha
Chunguza Kumbukumbu la Sheria 32:4
2
Kumbukumbu la Sheria 32:39
Oneni kuwa mimi ndimi Mungu na wala hakuna mwingine ila mimi. Mimi huua na kuweka hai; hujeruhi na kuponya, na hakuna awezaye kumwokoa yeyote mikononi mwangu.
Chunguza Kumbukumbu la Sheria 32:39
3
Kumbukumbu la Sheria 32:3
Maana nitalitangaza jina la Mwenyezi-Mungu, nanyi mseme, ‘Mungu wetu ni Mkuu’.
Chunguza Kumbukumbu la Sheria 32:3
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video