1
Mwanzo 35:11-12
Neno: Maandiko Matakatifu
Mungu akamwambia, “Mimi ndimi Mwenyezi Mungu, ukazae na kuongezeka. Taifa na jamii ya mataifa itatoka kwako, nao wafalme watatoka viunoni mwako. Nchi niliyowapa Ibrahimu na Isaka nakupa wewe pia, nami nitawapa wazao wako baada yako.”
Linganisha
Chunguza Mwanzo 35:11-12
2
Mwanzo 35:3
Kisha njooni, twende Betheli, mahali nitakapomjengea Mungu madhabahu, aliyenijibu katika siku ya shida yangu, ambaye amekuwa pamoja nami popote nilipokwenda.”
Chunguza Mwanzo 35:3
3
Mwanzo 35:10
Mungu akamwambia, “Jina lako ni Yakobo, lakini hutaitwa tena Yakobo, jina lako utakuwa Israeli.” Kwa hiyo akamwita Israeli.
Chunguza Mwanzo 35:10
4
Mwanzo 35:2
Hivyo Yakobo akawaambia watu wa nyumbani mwake pamoja na wote waliokuwa naye, “Iondoeni miungu ya kigeni ile iliyoko katikati yenu, jitakaseni na mkabadilishe nguo zenu.
Chunguza Mwanzo 35:2
5
Mwanzo 35:1
Kisha Mungu akamwambia Yakobo, “Panda uende Betheli ukakae huko na ukamjengee Mungu madhabahu huko, Yeye aliyekutokea ulipokuwa unamkimbia Esau ndugu yako.”
Chunguza Mwanzo 35:1
6
Mwanzo 35:18
Hapo alipopumua pumzi yake ya mwisho, kwa maana alikuwa akifa, akamwita mwanawe Benoni. Lakini babaye akamwita Benyamini.
Chunguza Mwanzo 35:18
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video