1
Mwanzo 50:20
Neno: Maandiko Matakatifu
Mlikusudia kunidhuru, lakini Mungu alikusudia mema, ili litimie hili linalofanyika sasa, kuokoa maisha ya watu wengi.
Linganisha
Chunguza Mwanzo 50:20
2
Mwanzo 50:19
Lakini Yusufu akawaambia, “Msiogope. Je, mimi ni badala ya Mungu?
Chunguza Mwanzo 50:19
3
Mwanzo 50:21
Hivyo basi, msiogope. Mimi nitawatunza ninyi nyote pamoja na watoto wenu.” Akawahakikishia na kusema nao kwa wema.
Chunguza Mwanzo 50:21
4
Mwanzo 50:17
‘Hili ndilo mtakalomwambia Yusufu: Ninakuomba uwasamehe ndugu zako dhambi na mabaya kwa vile walivyokutenda vibaya.’ Sasa tafadhali samehe dhambi za watumishi wa Mungu wa baba yako.” Ujumbe huu ulipomfikia, Yusufu akalia.
Chunguza Mwanzo 50:17
5
Mwanzo 50:24
Ndipo Yusufu akawaambia ndugu zake, “Mimi ninakaribia kufa. Lakini kwa hakika Mungu atawasaidia na kuwachukueni kutoka nchi hii na kuwapeleka katika nchi aliyomwahidi kwa kiapo Ibrahimu, Isaka na Yakobo.”
Chunguza Mwanzo 50:24
6
Mwanzo 50:25
Naye Yusufu akawaapisha wana wa Israeli na kuwaambia, “Hakika Mungu atawasaidia, nanyi ni lazima mhakikishe mmepandisha mifupa yangu kutoka mahali hapa.”
Chunguza Mwanzo 50:25
7
Mwanzo 50:26
Kwa hiyo Yusufu akafa akiwa na umri wa miaka 110. Baada ya kumtia dawa ili asioze, akawekwa kwenye jeneza huko Misri.
Chunguza Mwanzo 50:26
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video