1
1 Wafalme 22:22
Biblia Habari Njema
Mwenyezi-Mungu akamwuliza, ‘Kwa mbinu gani?’ Naye akajibu, ‘Nitakwenda na kuwafanya manabii wake wote waseme uongo.’ Mwenyezi-Mungu akamwambia, ‘Wewe utamshawishi na utafaulu; haya, nenda ukafanye hivyo.’
Linganisha
Chunguza 1 Wafalme 22:22
2
1 Wafalme 22:23
Basi, ndivyo ilivyo: Mwenyezi-Mungu amewafanya hawa manabii wako wote waseme uongo. Mwenyezi-Mungu amenena mabaya juu yako!”
Chunguza 1 Wafalme 22:23
3
1 Wafalme 22:21
Kisha pepo mmoja akajitokeza mbele ya Mwenyezi-Mungu, akasema, ‘Mimi nitamshawishi.’
Chunguza 1 Wafalme 22:21
4
1 Wafalme 22:20
ndipo Mwenyezi-Mungu akauliza, ‘Ni nani atakayemshawishi Ahabu aende akaangamie huko Ramoth-gileadi?’ Kila mmoja akajibu alivyofikiri.
Chunguza 1 Wafalme 22:20
5
1 Wafalme 22:7
Lakini, Yehoshafati akasema, “Je, hapa hakuna nabii mwingine wa Mwenyezi-Mungu ambaye twaweza kumwuliza shauri?”
Chunguza 1 Wafalme 22:7
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video