1
Kumbukumbu la Sheria 17:19
Biblia Habari Njema
Nakala hiyo atakuwa nayo daima na kuisoma maisha yake yote, ili apate kujifunza kumcha Mwenyezi-Mungu, Mungu wake, akishika na kutimiza maneno yote ya sheria hii na masharti haya
Linganisha
Chunguza Kumbukumbu la Sheria 17:19
2
Kumbukumbu la Sheria 17:17
Wala asijipatie wake wengi, la sivyo moyo wake utaasi; wala asijipatie fedha na dhahabu kwa wingi mno.
Chunguza Kumbukumbu la Sheria 17:17
3
Kumbukumbu la Sheria 17:18
Atakapokuwa amekalia kiti cha ufalme lazima afanye nakala ya sheria hii iandikwe mbele ya makuhani wa Kilawi.
Chunguza Kumbukumbu la Sheria 17:18
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video