1
Kumbukumbu la Sheria 18:10-11
Biblia Habari Njema
Pasiwe mtu yeyote miongoni mwenu atakayemtambika mtoto wake wa kiume au wa kike kwa moto, wala mtu apigaye ramli, wala mwaguzi, wala mpiga bao, wala mchawi, wala mlozi, wala mwenye kutaka kauli kwa mizimu na pepo au kutoka kwa wafu.
Linganisha
Chunguza Kumbukumbu la Sheria 18:10-11
2
Kumbukumbu la Sheria 18:12
Maana yeyote atendaye mambo haya ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu; na kwa ajili ya mambo haya ya kuchukiza, Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, anawafukuza watu wa namna hiyo mbele yenu.
Chunguza Kumbukumbu la Sheria 18:12
3
Kumbukumbu la Sheria 18:22
Kama nabii akisema kitu ati kwa jina la Mwenyezi-Mungu, na kitu hicho hakifanyiki au hakiwi kweli, jambo hilo hakulisema Mwenyezi-Mungu; nabii amelisema kwa ufidhuli, nanyi msitishwe na jambo hilo.
Chunguza Kumbukumbu la Sheria 18:22
4
Kumbukumbu la Sheria 18:13
Muwe wakamilifu mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.
Chunguza Kumbukumbu la Sheria 18:13
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video