Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 38:1

Isaya 38:1 NEN

Katika siku hizo Hezekia akaugua, naye akawa karibu kufa. Nabii Isaya mwana wa Amozi akaenda kwake na kumwambia, “Hili ndilo asemalo BWANA: Tengeneza mambo ya nyumba yako, kwa sababu utakufa, hutapona.”