Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yak 1:26-27

Yak 1:26-27 SUV

Mtu akidhani ya kuwa anayo dini, wala hauzuii ulimi wake kwa hatamu, hali akijidanganya moyo wake, dini yake mtu huyo haifai. Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yak 1:26-27