Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yakobo 1:26-27

Yakobo 1:26-27 SRUV

Mtu akidhani ya kuwa anayo dini, wala hauzuii ulimi wake kwa hatamu, ili hali akijidanganya moyo wake, dini yake mtu huyo haifai. Dini iliyo safi, isiyo na dosari mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa.

Soma Yakobo 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yakobo 1:26-27