Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wakorintho 8:1-2

1 Wakorintho 8:1-2 SRUV

Na kuhusu vyakula vilivyotolewa sadaka kwa sanamu; Twajua ya kuwa sisi sote tuna ujuzi. Ujuzi huleta majivuno, bali upendo hujenga. Mtu akidhani ya kuwa anajua neno, hajui neno lolote bado, kama impasavyo kujua.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wakorintho 8:1-2