Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ndani ya mahali petu: Kwaresima ya ibada kutoka muda wa neemaMfano

In Our Place: Lenten Devotions From Time of Grace

SIKU 2 YA 14

Nyimbo za mchezo wa jiwe

Ina furahisha kutazama watoto wakifuatana ndani ya akili yao na sifa za Mungu za mbinguni--yote inayo julikana, yenye uwezo wote, ya milele ilio pita na itako kuja, aliye mahali popote. "Baba, ikiwa kama Mungu ni mwenye nguvu zote, inamaanisha anaweza fanya kila kitu?" "Ndio." "Sawa, sasa, anaweza fanya jiwe kuwa kubwa mpaka hataweza inyanyua?"

Mungu kabisa anaweza vyote, ila kuna mambo mengine hawezi na hataki kuya fanya. Amekataa kulazimisha kila mutu kumu abudu. Kuabudu, kama kupenda, hailazimishwe ama haisukumwe. Inatolewa kwa uhuru ama haitakua na maana yake. Siku ambayo Mfalme Yesu alipo ingia Yerusalemu juu ya mwana punda,alifurahisha na sifa na hozana ambazo alipokea njiani. Kabisa imani ilikua ndani ya Israeli!

Kuna wengine ambao walikataa kumutolea sifa. "Wafarisayo wengine ndani ya umati waliambia Yesu,"Mwalimu,kemea wafuasi wako!" "Nawaambieni," alijibu, "kama hawa wakinyamaza, hakika hayo mawe yatapaza sauti.” (Luka 19:39,40) Mungu atasifiwa tu. Anaweza fanya kamba mawe yamusifu ikiwa kama malaika wata kata pumuzi.

Ila hata kusukuma wewe. Hii siku ya matawi ya Jumapili, itolee kwa Mfalme-Mtumishi, ambaye kwa utashi wake alipanda mwana punda kuendea kifo chake ili aweze kutolea maisha. Pepea na matawi ya mitende yako; gunja magoti yako; salamisha moyo wako; na umutolee utiifu, maabudu, na huduma anayo stahili.
siku 1siku 3

Kuhusu Mpango huu

In Our Place: Lenten Devotions From Time of Grace

Hii mpango ya usomaji itakuongoza ndani ya somo ya kwaresima, ambayo hutupeleka kwa historia za ajabu ya matezo, hukumu, na kufa kwa Yesu Kristo kwa nafasi yetu.

More

We would like to thank Time of Grace Ministry for providing this plan. For more information, please visit: www.timeofgrace.org

Mipango inayo husiana