Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ndani ya mahali petu: Kwaresima ya ibada kutoka muda wa neemaMfano

In Our Place: Lenten Devotions From Time of Grace

SIKU 14 YA 14

Utaishi pia!

Sote tunapendaka kukua na maisha matulivu. Sote twatarajia kamba mambo yote yata baki vile vile, yatabaki ambayo tunaweza kuhusika nayo. Tunaogopa sote mabadiliko ya gafla--kufukuzwa kazini ama kutupwa, mateso ya ajali garini, kuwekwa hospitalini kwa magonjwa fulani. Mbaya zaidi--twaogopa kuishi maisha ya uzee nyumbani, kuwekwa kwa wagonjwa mahututi.

Ndoto mbaya ya Martaikakamilika--Yesu mponyaji alichelewa kufika Bethania kuponya ndugu yake aliekua akiugua, Lazaro. "Martha akamwambia Yesu, “Bwana, kama ungalikuwa hapa, kaka yangu hangalikufa!' ... Yesu akamwambia, “Kaka yako atafufuka.” Yohane 11:21-23).

Hii ni neno tu ambayo inatoka kwa mutu ambaye naye pia atafariki kwa mwenziwe. Ila maneno hayo yalitoka kwa Yesu, Bwana na Mfalme wa dhambi, magonjwa, kufa, na kuzimu. Ufufuko wake ulimupa uwezo na mamlaka yakurudisha kifo nyume. Alionyesha hiyo uwezo kwa kaburi ya Lazaro kwa kumuamuru mtu huyu aliye kua amefariki kuja mbele na kuishi tena. Maiti hii iliyo rejeshwa ni kama onyesho ya yale ambayo Yesu atafanya kwa hali ya juu kwa muda wa mwisho wadunia.

Ufufuko wa Yesu Kristo ina tuliza hofu yetu kubwa. Ufufuko wa Yesu Kristo ina hakikisha usamehe wa dhambi zako. Hakuna hukumu kwa walio amini ndani ya Yesu. Ufufuko wa Yesu Kristo unahakikisha wako pia. Anaishi. Utaishi pia.
siku 13

Kuhusu Mpango huu

In Our Place: Lenten Devotions From Time of Grace

Hii mpango ya usomaji itakuongoza ndani ya somo ya kwaresima, ambayo hutupeleka kwa historia za ajabu ya matezo, hukumu, na kufa kwa Yesu Kristo kwa nafasi yetu.

More

We would like to thank Time of Grace Ministry for providing this plan. For more information, please visit: www.timeofgrace.org