Ndani ya mahali petu: Kwaresima ya ibada kutoka muda wa neemaMfano
Imekamilika
Moja kati ya siku za muhimu za historia ya mwanadamu inaonekana kama siku ya kawaida kwa serekali ya warumi. Ilikua kama kawaida kwao kuhukumu watu wa tatu nadi ya Yerusalemu kwa siku moja mbele ya Sabato ya Pasaka. Walichukua kama kawaida majukumu yao na wanajua kazi vizuri, nyundo na msumari ambazo watatia ndani ya ya mikono na miguu ya muathirika.Wawili walikua waki lalamika kwa sababu ya mateso na uchungu. Moja katikati yao alibeba uchungu wake kwa kimya, aliongea mara moja akiomba Baba yake kusamehe watesaji wake. Kama vile Yesu alikuanafariki, giza ikaingia mbele yayule aliye simamia kusulubiwa kwake : "Jemadari mmoja aliyekuwa amesimama mbele yake alipoona kwamba Yesu alikata roho namna hiyo, akasema, “Kweli mtu huyu alikuwa Mwana wa Mungu!” (Marko 15:39).
Huyu jemadari alirudi nyuma kwenye kambi zake pamoja na mabo matatu: Vali walio pigia kura ya yule aliye tundikwa, hukumu ya kwamba matetundika apana tu mtu asiye na hatia ila pia Mwana pekee wa Mungu, na injili ya usamaha ambao ilifikia wauaji wengine kama yeye.
Kuna mambo mengi ya kuelewa katika picha hii kwako pia kwangu, ila mambo mawili yana muhimu sana kuliko mengine yote. Kwanza, kusulibiwa kwa Kristo inatuonesha namna gani dhambi zetu ni mbaya kabisa. Mbili, kusulubiwa kwake kunatuonesha ufaulu wa kununua msamaha kwa wenye dhambi. Imekamilishwa. Shetani ameshindwa. Kisto amekufanya huru.

Andiko
Kuhusu Mpango huu
Hii mpango ya usomaji itakuongoza ndani ya somo ya kwaresima, ambayo hutupeleka kwa historia za ajabu ya matezo, hukumu, na kufa kwa Yesu Kristo kwa nafasi yetu.
More
We would like to thank Time of Grace Ministry for providing this plan. For more information, please visit: www.timeofgrace.org