Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ndani ya mahali petu: Kwaresima ya ibada kutoka muda wa neemaMfano

In Our Place: Lenten Devotions From Time of Grace

SIKU 9 YA 14

Hakuna hukumu

haiko kugumu kudharau Mafarisayo wa makati wa Yesu kwa mafikiri yao machache, kwa hukumu yao wenyewe kwa wengine, na kwa upofu wao kwa hali yao wenyewe ya dhambi. Si kugumu kwa kuchekelea wafuasi wa Yesu ambao hawakuweza kuelewa mpango na shabaa ya ujumbe wa Yesu. Haiko kugumu kutazama kando yetu nakuona watenda maovu mahali popote.

Je, umewai kutazama watenda maovu ndani ya kioo?

Askari wa Warumi walimsulubisha Kristo. Waongozi wakuu wa Wayahudi walimsulubisha Kristo. Sheria ya Warumi, pamoja na gavana Pontius Pilato, walimsulubisha Kristo. Isaya naye pia, na sisi pia. "Alidharauliwa na kukataliwa na watu,alikuwa mtu wa uchungu na huzuni.Alikuwa kama mtu kinyaa kwa watu;alidharauliwa na tukamwona si kitu" (Isaya 53:3).

Nikwa ajili watu watenda dhambi-- tena nikwa ajili yetu--ilifanya kwamba Yesu aje kuzaliwa ndani ya ulimwengu huu, kuishi kabisa, namwisho kuuwawa bila hatia. Ni kwa sadaka yake ambayo ilifanya kwamba malipo ya damu yake iwe ajili yetu. Kifo chake kilifanya kwamba Baba aweze kusema "hakuna hukumu" juu yetu.

Ni kwa vidonda vyake, vidonda vyake pekee, ambavyo tume pona.

Andiko

siku 8siku 10

Kuhusu Mpango huu

In Our Place: Lenten Devotions From Time of Grace

Hii mpango ya usomaji itakuongoza ndani ya somo ya kwaresima, ambayo hutupeleka kwa historia za ajabu ya matezo, hukumu, na kufa kwa Yesu Kristo kwa nafasi yetu.

More

We would like to thank Time of Grace Ministry for providing this plan. For more information, please visit: www.timeofgrace.org

Mipango inayo husiana