Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ndani ya mahali petu: Kwaresima ya ibada kutoka muda wa neemaMfano

In Our Place: Lenten Devotions From Time of Grace

SIKU 12 YA 14

Hauezi kufa

Ni tabia ya wanadamu kuchukua vitu bila samani yao. Sivyo? Ikiwa kama uko unaendesha gari yako kisha mara moja unatazama mwangaza mwekundu mbele yako, bila kufikirila, "sijue kama sheria ya msuguano ita fanyika leo?" Una weka mguu wako kwenyi breki. Ijapo kua uamkapo asubui haukufikiria kama, "Pengine leo dunia ita simama nahaita zunguka tena alafu nita weka breki zangu hewani?" Unaamka kama kawaida naunaweka miguu yako chini kwenye udongo. Huwa mara kwa mara bila kuweka angalisho kwa kawaida ya mambo ambayo husibitisha maisha yetu pamoja. Sasa, itakuaje kama siku ya Pasaka haikukuaka?

Ikiwa kama Kristo hakufufuka toka wafu, mambo yote ambayo hufikiria kujua kuhusu ukristiani itaanza anguka na kubomoka, kama jengo bila msingi ndani ya nvua na upepo. Ikiwa kama Kristo hakufufuka toka wafu, hii nijambo lakutisha kuliko vyote: Dhambi zako hazinge samehewa na uta hukumiwa kwa hiyo. Wale ambao wamelala ndani ya Kristo wangepotea. Ikiwa kama sasa kwa leo tuna tumaini ndani ya Kristo, tungekua watu wa ole duniani kuliko wote, Paulo akasema.

Ila tazama hii: Bibilia husema, "Lakini ukweli ni kwamba Kristo amefufuliwa kutoka kwa wafu, wa kwanza wa wale waliolala katika kifo" (! Wakorintho 15:20). Kristo Yesu pekee ndie alieleta ufufku duniani. Kwa sababu alitoka ndani ya kaburi yake mwili na nafsi, wewe na mimi hatuta kufa tena. Ufufuko wake unahakikisha Dusamehe wako. Ufufuko wake unahakikisha wake pia.
siku 11siku 13

Kuhusu Mpango huu

In Our Place: Lenten Devotions From Time of Grace

Hii mpango ya usomaji itakuongoza ndani ya somo ya kwaresima, ambayo hutupeleka kwa historia za ajabu ya matezo, hukumu, na kufa kwa Yesu Kristo kwa nafasi yetu.

More

We would like to thank Time of Grace Ministry for providing this plan. For more information, please visit: www.timeofgrace.org