Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ndani ya mahali petu: Kwaresima ya ibada kutoka muda wa neemaMfano

In Our Place: Lenten Devotions From Time of Grace

SIKU 1 YA 14

Jifu la Jumatano

Mara nyingine umetazama watumishi kutoka ibada ya katikati ya wiki wakiwa na rangi kama ya machozi kwenye paji la uso. Makanisa kadhaa ya kikristo hawa tumii usemi "Jifu la Jumatano" kumaanisha mwanzo wa mwendo, ila hutumia majivu halisi amba huweka wenye waabudio kwa ukumbusho wa dhambi zetu, kifo chetu, na beyi ya kutisha kabisa ambayo alilipa kwa ajili yetu.

Uweume vaa majivu ama la kwenye paji la uso wako, ni ya muhimu sana kabisa kwakuja mbele za Bwana na unyenyekevu, kwa magoti, tukijua na kukubali mara ngapi unahitaji Mwokozi. "Mimi niliye mavumbi na majivu tu", aliongea Abrahamu (Mwanzo 18:27), na sisi pia ndivyo tulivyo.

Jinsi tulivyo umbwa na Mungu, Tukiishi ndani ya dunia ya Mungu, tukiishi chini ya sheria ya Mungu, na jinsi tuna lazwa chini ya hukumu ya Mungu, tunapatikana kwenye mahali mbaya. Ulithi wetu wa dhambi kutoka mwanzoni unatufanya kuwa na hatia mbele ya macho ya Mungu hata mbele ya sisi kuzaliwa, na tena tunaongezea mzigo wa ubala kila siku tunayo ishi. Hatia tunayo ina tuletea uamuzi wa Mungu-- "Mavumbini utarudi." Tena mbaya zaidi-- "Kuzimuni utaenda."

Ila msimu wa kwaserima hutuletea historia za ajabu ya mateso, hukumu, na kifo cha Yesu Kristo kwa nafasi yetu. Ni Mwana kondoo wa Mungu aliye ondoa dhambi za ulimwengu. Ni Mwana kondoo wa Mungu alie ondoa zako, hatia, na hukumu. Na majivu.

Andiko

siku 2

Kuhusu Mpango huu

In Our Place: Lenten Devotions From Time of Grace

Hii mpango ya usomaji itakuongoza ndani ya somo ya kwaresima, ambayo hutupeleka kwa historia za ajabu ya matezo, hukumu, na kufa kwa Yesu Kristo kwa nafasi yetu.

More

We would like to thank Time of Grace Ministry for providing this plan. For more information, please visit: www.timeofgrace.org

Mipango inayo husiana