Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ndani ya mahali petu: Kwaresima ya ibada kutoka muda wa neemaMfano

In Our Place: Lenten Devotions From Time of Grace

SIKU 5 YA 14

Unamaanisha nini, "Maundy"?

Jioni wakati Yesu alipo shikwa na kuhukumiwa ndani ya wayahudi na mahakama ya warumi ilipoanza kwa kimya pamoja na mlo wa pasaka ya kila mwaka ndani ya chumba cha juu mu Yerusalema. Yesu alitumia saa yake ya muhimu aliyobaki nayo ya uhuru kama mafungo ya mafundisho. Mengi ya yale aliyo sema na aliyo tenda ilileta mshituko kwa wanafunzi wake: alipiga magoti na kuwaosha miguu, halitabiri kifo na ufufko wake, na kisha akasema hivi: "Nawapeni amri mpya: Pendaneni. Pendaneni kama nilivyowapenda nyinyi" (Yohane 13:34).

Hapo mwanzoni kati ya mafundisho yao aliwaambia kama alama ya mwamini halisi ni kuungana na Neno la Kristo. Sasa anaongezea amri ya "mpya" ambayo haiko kabisa ya mpya ila ilikua imepita muda: "Penda nirani yako". Kinacho ifanya kua mpya nikwamba asili yetu ya dhambi inazaa kila mara mafikara ya ubinafsi na maneno ya ubinasi na tabia ya ubinafsi. Kama vile neema ya Yesu ya usamehe inafanywa upya kila asubui, inatupatia kuoshwa kiroho na usamaha, ndio maana inatubidi kuchagua namna mpya ya kuadjidiliana na wengine kama vile Kristo anavyo fanya nasi--na subira, kutosha, upendo wa bila sheria.

"Amri" imetokea kwa luga ya kilatini, "mandatum", ambayo inapatia jina kwa siku ya Alhamisi mbele ya kifo cha Yesu. Kama tunavyo tafakari jinsi njioni maalumu na picha za Mwana kondoo wa Mungu akila Pasaka pamoja na rafiki zake, akiosha miguu yao na unyenyekevu, na kufungua siri za meno la Mungu kwa kuwaimiza, tuna funuliwa kabisa. Kufunuliwa kuhusu kupenda.

Andiko

siku 4siku 6

Kuhusu Mpango huu

In Our Place: Lenten Devotions From Time of Grace

Hii mpango ya usomaji itakuongoza ndani ya somo ya kwaresima, ambayo hutupeleka kwa historia za ajabu ya matezo, hukumu, na kufa kwa Yesu Kristo kwa nafasi yetu.

More

We would like to thank Time of Grace Ministry for providing this plan. For more information, please visit: www.timeofgrace.org

Mipango inayo husiana