Ndani ya mahali petu: Kwaresima ya ibada kutoka muda wa neemaMfano
Mpango mkubwa
Piramidy nzuri za Misri ilijengwa kama mahali ya mazishi ya Farao: Mwili wa Djoser, Khufu, na Khafra, kwa makini ilikaushwa na kufunikwa, nakuwekwa hapo. sasa leo, chumba hizo za mazishi ziko tupu. Yesu Kristo alitundikwa kama muovu kuliko wote, ila alizikwa kama mwan wa mfalme ndani ya mwanba mpya ya mauselumu. Tundu la mazishi pia nitupu, ila kwa sababu tofauti kabisa. Wezi waliiba ndani ya kaburi ya Farao. Yesu alitembea kutoka kaburi yake akiwa hai tena.
Unaweza tarajia kukutana na wasioamini kukubali historia ya Pasaka. Ila utashangaa kutazama walimu wakristo ngapi ambao wanashugulika na kufundisha hii ufufuko wa Kristo ambao inahusisha jambo fulani kubwa kuliko kukufua maiti. Kwa kweli, Mkombozi wetu alifariki kabisa, ngio alifariki. Si mipango. Bila kupumua. Bila ma wimbi kichwani. Na kwa sasa, Mkombozi wetu anaishi, ndio anaishi sasa.Hii ni mpango mkubwa. Ufufuko wa mwili wa Yesu Kristo ni alama ya wazi ya kukubaliwa kwa maisha ya Mwana wake na kazi yake. "Na kama Kristo hakufufuka, basi mahubiri yetu hayana maana na imani yenu haina maana" (1Wakorintho 15:14). Ikiwa kama mwili wa Kristo ingali bado ndani ya kaburi, ungali pia ndani ya dhambi zako. Hukumu yako bado haija ondolewa. Mwili wako mwenyewe haita tokaka katika kaburi.
Ila Kristo alifufuka toka wafu. Ndivyo ilivyo tumaini yetu. "Nina amini ndani ya ufufuko wa mwili," tuna sema ndani ya imani ya Mitume. Una amini hivyo? Wanao amini wamesamehewa na hawata fariki.

Andiko
Kuhusu Mpango huu
Hii mpango ya usomaji itakuongoza ndani ya somo ya kwaresima, ambayo hutupeleka kwa historia za ajabu ya matezo, hukumu, na kufa kwa Yesu Kristo kwa nafasi yetu.
More
We would like to thank Time of Grace Ministry for providing this plan. For more information, please visit: www.timeofgrace.org