Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku /Juni 2023Mfano

Soma Biblia Kila Siku /Juni 2023

SIKU 14 YA 30

“Naamini ya kuwa nitauona wema wa Bwana katika nchi ya walio hai”(m.13). Tegemeo hili ni kubwa na la Baraka, Mtunga Zaburi hii ndivyo anavyoamini na ndivyo anavyoomba kuuona wema wa Bwana katika maisha yake japo yupo kwenye hali ngumu ambapo hata baba na mama yake walimwacha. Kila siku Bwana Yesu ananyoosha mikono akisema,Njooni kwangu,ninyi nyoote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo,nami nitawapumzisha(Mt 11:28). Wema wa Bwana umekuzunguka mwombe yeye naye atakujibu.

siku 13siku 15

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku /Juni 2023

Soma Biblia Kila Siku Juni 2023 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kuelewa somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi katika kitabu cha Matendo ya Mitume, Filemoni na 1 Wafalme. Karibu kujiunga na mpango huu.

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz/